NJIA 8 ZINAZOINGIZA MAGONJWA BANDANI
1.kuku wagonjwa au mizoga
2.mavazi na viatu vya watu bandani
3.matandiko,mifuko ya vyakula,gamba la yai
4.magari na vyombo vichafu
5.maji,chakula & hewa chafu
6.kununua vifaranga wagonjwa
7.ndege wa porini/mwituni
8.panya,nzi,wanyama wanaozurura & wadudu
jinsi ya kuchoma chanjo ya marek's
https://www.youtube.com/watch?v=lznet4PKxQI

No comments:

...