banda la kuku
Ni vipi utachagua eneo la kujenga nyumba ya kuku?
Liwe na kuta imara ili kuhimili upepo mkali.
Paa liwe halivuji mvua ikinyesha
Tumia sementi kutengeneza sakafu kwa urahisi wa kusafisha.
Madirisha yazungushwe na pazia ya nyaya (wire mesh)
Weka vifaa vya kulishia chakula na kunywea maji

Funika sakafu na matandiko

...