UNAJUA JINSI NAFASI INAWEZA KUBORESHA UFUGAJI WAKO?





Swala la nafasi ni jambo muhimu sana katika ujenzi wa banda,kwani nafasi iliyopo itabaini idadi an aina ya ndege watakaofugwa

nafasi ikiwa finyu itapelekea  ndege kuwa na tabia zisizo za kawaida,kuwa dhaifu na kushindwa kukabiliana na magonjwa, kudonoana na kusababisha waliodhaifu kushindwa kula na kukosa sehemu ya kulala kwenye kichanja kwa maelezo zaidi www.poultrycare.blogspot.com

No comments:

...